//
Ads

SAUTI- Njia zinazotumiwa na wezi wa mitandao ya simu za mkononi


Na Mwandishi wetu
TATIZO la wizi wa njia ya mitandao ya simu za mkononi nchini limekua ‘gumzo’ kwa watumiaji wa mitandao hiyo ya simu hadi kupelekea lawama kwa wamiliki.

Sikiliza hapa chini ama Download kusikia namna wakala mmoja alichokifanya baada ya kugundua kuwa anataka kuibiwa…Zinduka sasa Mtanzania. 
BONYEZA HAPA KUTEMBELEA UKURASA ETU WA FACEBOOK
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment