//
Ads

Tundu Lissu azungumza na watanzania kwa mara ya kwanza


MUDA mfupi baada ya picha za Mbunge wa Singida Mashariki,(Chadema) Tundu Lissu akiwa hospitali ya Nairobi kusambaa kwa mara ya kwanza tangu kutokea kwa shambulio la risasi akiwa mjini Dodoma hatimaye Tundu Lissu amesikika akizungumza na watanzania kwa njia ya 'sauti'.

Matukio hayo ya kufuatana ya kusambaa kwa picha na sauti hiyo ya Mwanasheria huyo Mkuu wa Chadema ni kufuatia Mwenyekiti wa Chama hicho jana kutamka kuwa muda mfupi kuanzia jana watanzania wategemee kumuona Tundu Lissu na kumsikia akizungumza hali yake kwa mara ya kwanza. 

Msikilize hapa alichozungumza pamoja na kutazama picha zake zilizosambaa leo..





Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu mguta

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment