Rais Magufuli amteua Prof. Makobo kuwa M/kiti Tume ya Sayansi
RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania.
Ambapo Rais Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania
Prof. Maboko ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa imesema uteuzi wa Prof. Maboko unaanza Februari 19, mwaka huu.
0 Michango:
Post a Comment