
Teknolojia
hiyo inayojulikana kama Soak, hubadlisha rangi ikiwa itatambua kuwa dereva
atakuwa ameishiwa maji mwilini.
Utafiti
wa walia uliofanywa na taasisi za European Hydration Institute na Loughborough
University uligundua kuwa madereva wanaoishiwa na maji mwilini huwa na makosa
mengi sawa na madereva walevi.
Ngozi
hiyo ya kiti iliyoundwa na kampuni moja nchini Uholanzi pia itawekwa kwenye
usukani wa gari na viti vya mbele vya gari .
"Hii
ni sehemu ya mpango mzima ambao sio tu wa kufuatilia tu gari bali pia
dereva." alisema Prof Peter Wells.
0 Michango:
Post a Comment