SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari.
Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julias Nyerere majira ya saa 11 Jioni akiwa kwenye kiti cha mgonjwa akisukumwa na wahudumu wa Uwanja huo.
Jana Kubenea aliondolewa kwenye Hospitali ya Aga Khan ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya Spika wa Bunge Job Ndugai kwamba afikishwe mbele ya kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama.
Tazama Video hii ..................
0 Michango:
Post a Comment