Usikose kumtazama kijana huyu mwenye kipaji cha ajabu...
Siku chache baada ya Ben Pol na mchekeshaji anayekuja kwa kasi Bongo, Ebitoke ku-make headlines baada ya kukutana na kupiga picha zinazowaonesha wakiwa kimahaba, ikiwa ni baada ya mwanadada huyo kulalama kwa siku nyingi kwamba anampenda msanii huyo wa Bongo Fleva.Katika mahojiano hayo, Ebitoke alisema kwamba watu wengi wanadhani kwamba ni kiki lakini kiukweli amefurahi sana kukutana na Ben Pol na kupiga naye picha pamoja na kupata nafasi ya kumueleza hisia zake live.
Ebitoke amesema hawezi kueleza nini kitafuatia kati yake na Ben Pol lakini amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa sababu ni kweli anampenda kwa dhati na yuko tayari kumpa chochote.
0 Michango:
Post a Comment