Habari njema nyingine iliyotufikia kutoka kwenye industry ya Bongofleva ni pamoja na hii ya msanii wa kizazi kipya wenyewe wanamuita V.O.A Voice Of Africa, Linex Sunday Mjeda kupata mtoto jana June 27 2017.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex aliandika:>>>”Mungu wangu Wa Ibrahim Mungu Wa Jacob Mungu Wa Watu wote wamuaminie Amenipa Jina Jipya kutoka Kwenye Sunday Jina nililopewa Na Mama angu Mpendwa mpaka kwenye Jina Jipya BABANASHUKURU MUNGU KWA KUNIPA MTOTO WA KIUME LEO MIDA HII
nashindwa kujieleza OK nisiongee Sana MPENI JINA MTOTO WENU” – Linex
0 Michango:
Post a Comment