Watu wawili waripotiwa kufariki katika shambulizi la silaha katika chuo kimoja cha jamii jimbo la Texas Marekani.
Watu hao wawili waliripotiwa kuuawa kwa risasi katika shule ya North Lake College .
İnasemekana kuwa mshambuliaji aliingia katila mazingira ya shule hiyo na kumpiga risasi 3 mwanamke mmoja .
Wanafunzi na walimu walilazimika kwenda katika darasa moja kujifungia na kungoja usaidizi wa polisi ufike .
Baada ya tukio hilo masomo yalisitishwa katika shule hiyo.
0 Michango:
Post a Comment