Mwandishi wetu, Woshington
RAIS wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Palestina Mahmoud Abbas wamekubali kushirikiana katika kutatua mgogoro wa Israel na Palestina.
Katika mkutano na waandishi wa habari jijini Washington Trump amesema kwamba atafanya chochote kuhakikisha amani inagikiwa Mashariki ya Kati.Aliendelea kuelezea ya kwamba ni muhimu sana Israel na Palestina ikitatua mgogoro baina yao.
Rais Abbas naye amesema kuwa ana matumaini ya kupatikana kwa amani baina ya Palestina na Israel kwani sasa wapo katika ukurasa mpya wa kutafuta suluhisho .
0 Michango:
Post a Comment