//
Ads

Lipumba ampa heko Jecha, amponda Maalim Seif


Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ibrahim Lipumba amemsifu Mwenyekiti wa Yume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu 2015.

Prof. Lipumba amesema ni afadhali  Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar  kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba ameyasema hayo leo katikaa mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds TV.
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment