//
Ads

Watu wanne wafariki Z'bar baada kuangukiwa na ghorofa



Na Mwandishi Wetu
WATU wanne wanadhaniwa kufariki dunia akiwemo mama na mtoto wake baada ya kuangukiwa kwa jengo la ghorofa tatu kubomoka Mji Mkongwe, Zanzibar.

Shughuli za ukoaji ya watu waliofunikwa na kifusi zinaendelea.


Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment