Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa kuhusu usalama wa Marekani imepangwa ikiwemo tangazo la kujenga ukuta kati ya Marekani na Mexico.
Donald Trump amesema kuwa ujenzi wa ukuta mrefu wa wenye maili 2000 katika mpaka wa Mexico ni miongoni mwa mapendekezo yake wakati wa kampeni za urais.
Kutakuwa na mikakati ambayo pia italazimu miji mitakatifu nchini Marekani kushirikiana na mamlaka katika kuwarejesha makwao wahamiaji haramu.
Miji mitakatifu ni maeneo ambayo hayawakamati ama kuwazuia wahamiaji wanaoishi katika taifa hilo kinyume na sheria.
0 Michango:
Post a Comment