//
Ads

MV Kigamboni yanusurika kuzama asubuhi hii



Na Mwandishi Wetu
TAFRANI ilizuka Kivuko cha MV Kigamboni mapema leo asubuhi baada ya kivuko hicho kupata hitilafu na kuzua taharuki kwa abiria waliokuwa wakivuka huku wengine wakiruka hovyo ili kuweza kujiokoa.

Chanzo kimeeleza huenda hitilafu hiyo ilitokana na kivuko hicho kuzidisha abiria.



Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment