//
Ads

Rais Magufuli ateua mabalozi wapya 15

Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania
Mwandishi wetu
RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, leo amefanya uteuzi wa mabalozi 15 ili kujaza nafasi za mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali.

Soma taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi kuwajua pamoja na nchi walizopangiwa
 


Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment