Moja ya bweni la Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara likiteketea kwa moto
Na Mwandishi Wetu
Mabweni ya Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara yameteketea kwa moto asubuhi ya leo shule zikiwa zimefungwa. Chanzo hakijafahamika
Bweni la Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara likiwa limeteketea kabisa kwa moto
0 Michango:
Post a Comment