Arsenal, PSG, Man City zasonga mbele UEFA
KLABU ya Arsenal jana ililazimishwa sare ya mabao 2-2 na PSG katika mchezo wa Kundi A uliochezwa kwenye Uwanja wa Emirate na kuzifanya timu hizo kusonga mbele katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti huku la pili walilipata baada ya kiungo wa PSG, Marco Verratti kujifunga huku mabao ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 18 na Alex Iwobi dakika ya 77.
Katika mchezo mwingine wa Kundi C, Manchester City ilipata sare ya bao 1-1 na wenyeji wao Borussia Monchengladbach Uwanja wa Borussia-Park mjini Monchengladbach katika mchezo huo. Man City imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 Bora.
0 Michango:
Post a Comment