//
Ads

Madiwani Chadema waendelea kupukutika


ALIYEKUWA diwani wa Kata ya Soitisambu wilayani Ngorongoro mkoania Arusha (Chadema)
Boniface Kanjueli amejiuzulu nafasi ya udiwani na kuhami CCM kwa madai ya kupendezwa na utendaji  wa rais Magufu.

Diwani huyu anajiuzulu ikiwa ni siku chache kupita tangu madiwani watatu wa Chadema kujiengua na kuhamia CCM ambao ni Diwani wa Kata ya Ngorongoro, Daniel Orkeriy, Mwenyekiti wa Vijana wa Chadema Wilaya hiyo.

Pia Diwani wa Kata ya Ngoile, Lazaro Saitoti na Diwani wa Kata ya Loitole, Sokoine Moiv kwa madai ya kuunga mkono utendaji wa rais Magufuli.
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Unknown

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment