//
Ads

Ndoa ya Prof. J inanukia?

Tunae Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ambae kwa kitambo tumekua tukimuona akiwa na Ubavu wake lakini sasa wameamua kuzikamilisha hatua muhimu zaidi kuhalalisha penzi lao.

Usiku wa July 6 2017 zilitoka picha zikimuonyesha Profesa Jay na Ubavu wake huyo kwenye Send Off ambapo Profesa kwenye Twitter yake alipost picha hii hapa chini na kuandika “SEND OFF.. Asante MUNGU!!”

Muungwana blog  inawatakia kila ka kheri kwenye harusi yao pamoja na maisha yao ya ndoa.
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment