//
Ads

Mapokezi ya Rayvanny

Image result for mapokezi ya rayvannyMsanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, amewasili alasiri hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)

Rayvanny alipata tuzo hiyo nchini Marekani Juni 25 na kuwa msanii wa kwanza kushinda tuzo hizo kubwa.

Rayvanny ameambatana na Babutale ambaye ni mmoja wa mameneja wa Kundi la WCB.

Uwanjani hapo Kulifulika Mashabiki wa  Msanii huyo walikuja Kumlaki.

Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment