Rais John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa mchanga usiondoke nje ya nchi kutokana na kiasi kikubwa cha mchanga huo kuwa na ulaghai wa mikataba ya uchenjeaji.
Rais Magufuli amezungumza hayo leo alipokuwa akipokjea ripoti ya pili ya Mchanga wa Dhahabu Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli amesema nchi inahitaji wawekezaji lakini sio wenye kuikandamiza na kwamba wawekezaji wa namna hiyo hawana faida na nchi.
0 Michango:
Post a Comment