Wema Sepetu |
WEMA Issac Sepetu amewataka mashabiki zake wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz.
Wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, wema amefunguka na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto wa wili kwa sasa na ifike kipindi watu wanatakiwa wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond bali wamuombee na yeye apate mume wake ambaye siyo mtu maarufu.
"Sasa baby aliokwambia namtaka Damond ni nani? Life has to go on, yule ni baba wa watoto wawili jamani. Its about time u guys accept that Me and Naseeb no more. Mnachotakiwa kuniombea ni nipate mwanaume bora na siyo bora mwanaume na mwenye heshima zake"- aliandika.
Endelea hapo chini kusoma alichoandika...
0 Michango:
Post a Comment