//
Ads

Kikosi kipya cha Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga leo amekitangaza rasmi kikosi chake chenye wachezaji 24 kwa ajili ya kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (COSOFA) dhidi ya Lesotho mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu

Aidha, kikosi hicho kina sura ya tofauti kabisa na kile walichokizoea mashabiki wa soka pamoja na watanzania huku kikiongozwa na Nahodha machachari Mbwana Samatta anayekipigia nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment