//
Ads

Huyu ndiye mridhi wa Kitila Mkumbo

Mwanasheria  Albert  Msando
MWANASHERIA Albert Msando ametangazwa rasmi na chama cha ACT-Wazalendo kuwa Mshauri Mkuu wa cha hicho.
Msando anachukua nafasin hiyo iliyoachawa wazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
Kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Doroth  Semu, Utuezi huo umeanza tangu Mei 8, 2017. Kabla ya uteuzi huo Msando alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria katika chama hicho.




HALI YA HEWA



Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment