//
Ads

Claudio Ranieri atoa pongezi kwa Chelsea

Claudio Ranieri

KOCHA Claudio Ranieri aliyetimulia Leicester City msimu huu, ametuma salamu za kuipongeza klabu ya Chelsea baada ya kutawazwa mabingwa wapya wa England msimu huu.

Kocha huyo raia wa Italia amekuwa na uhusiano mzuri na Antonio Conte ambaye wanatoka taifa moja.

Ushindi wa Ijumaa wa Chelsea dhidi ya West Brom, ulitosha kuwapa ubingwa kikosi cha Conte ambao wamewapokea kijiti Leicester City waliokuwa wamepoteza ndoto za kutetea taji hilo katikati ya msimu huu.
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment