Waziri wa Michezo na Burudani, Nape Mnauye |
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Michezo na Burudani, Nape Mnauye amesema
serikali ya Tanzania itahakikisha inasimamia mifumo ya kazi za wasanii ili
kunufaika na kazi zao ikiwa ni pamoja na kurejesha mfumo wa album.
Msikilize hapa alichoongea kupitia moja ya kipindi
cha radio cha Tanzania..
0 Michango:
Post a Comment