//
Ads

Steve Nyerere: "Wananisema nimeathirika na UKIMWI"

Msanii wa filamu nchini Tanzania na mwanasiasa Steve Nyerere amefunguka na kusema kuwa kutokana na matatizo ambayo anapitia ikiwa pamoja na maradhi yake kuna watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ameathirika na kukwama.

Steve amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa kwa sasa anasumbuliwa zaidi na miguu na kama kuna watu wamemtumia uchawi basi anawaomba msamaha wamsamehe ili aweze kupona. 
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment