Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
- Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
- Mende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakai picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitter
- Akiwa na kalamu zenye rangi mende huyo aliweza kuchora michoro tofauti
- Michoro hiyo imewavutia wengi mitandaoni na hata kusababisha kutangazwa kuuzwa kupitia Ebay
- Mende wa aina hii ni maarufu miongoni mwa watoto chini Japan
- Mende hawa ni kati wa wadudu wenye nguvu nyingi zaidi duniani
- Mdudu huyu na uwezo wa kupanda ukuta na pia anatajwa kusaidia hata kwenye mapishi
0 Michango:
Post a Comment