//
Ads

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya

Rais Magufuli
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na kumteua Bw. Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho.



Awali nafasi hiyo ilikuwa chini ya  Bi. Juliet Kairuki ambaye alitenguliwa na Rais Magufuli 24 Aprili mwaka huu baada ya Rais kupata taarifa kuwa kiongozi huyo alikuwa hachukui mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwaka 2013. 
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment