//
Ads

Rais Magufuli aunda kamati ya pili uchunguzi, Mchanga wa Madini

Rais Magufuli

Na Mwandishi wetu
RAIS wa Tanzania, John Magufuli leo ameteua wajumbe wa kamati maaalum ya pili ya uchunguzi wa madini yanayopatikana katika mchanga ulio

ndani ya makontena katikaa maeneo mbalimbali nchini.
Kamati hiyo inayojumuisha wachumi na wanasheria imetanguliwa na kamati ya kwanza iliyoundwa na wataalam wa masuala ya Jiolojia, Kemikali na Uchambuzi wa kisayansi.

Majina hayo ni kama ifuatavyo..
Sambaza kwenye Google Plus

Kuhusu Anonymous

Hii ni Blog yenye jukumu la kukupasha habari za Mtanzania mwenye hali ya chini ambaye hajapata nafasi ya kutoa maoni yake.

0 Michango:

Post a Comment