Na Mwandishi wetu
Wizara ya usalama wa ndani ya nchi, huko Marekani, ina mipango
ya kuwaajiri maelfu ya maafisa wa ziada.
Watakaohusika kutimiliza hatua kali zilizowekwa na utawala wa
Donald Trump, kukabiliana na wahamiaji haramu. Maelekezo hayo yametolewa baada
ya utawala wa Trump kusema kuwa, wahamiaji wasio na stakabadhi maalum ya kuishi
Marekani na walio na rekodi ya uhalifu, wanahatarisha maisha ya Waamerika au
wale ambao wamewahi hujumu mfumo wowote nchini Marekani.


0 Michango:
Post a Comment